Twakukaribisha kwenye mtandao huu. Katika nyakati hizi za taabu twahitaji mwongozo na majibu. Mtandao huu ni kwa ajili yako wewe! Waweza kupokea na kunakili kitabu cho chote au makala yo yote.
Tutakuwa tukiongeza vitabu na vijizuu zaidi katika orodha hii katika siku za usoni.
Asante Sana, R.M. (Rudy) Harnisch
kwa Kiswahili: panotec@hotmail.com
kwa Kiswahili: frank_mwakyoma@yahoo.co.uk
For English: sdabooks@hotmail.com